Habari za Mastaa

Jay Z na Beyonce hawajachoshwa nyumba za kupanga? Ya kwanza imeuzwa, wanahamia humu… (+Pichaz)

on

Nyumba ya kwanza ambayo waliamua kuishi Jay Z na Beyonce pamoja na mtoto wao Blue Ivy, ilikuwa maeneo ya Los Angeles Marekani na walianza rasmi maisha ndani ya huo mjengo February 2015, baadae mambo yakabadilika.. nyumba iliuzwa na walipewa miezi miwili tu ya kuishi hapo ndani alafu wahame.

Hii ni familia ya mastaa na wenye pesa nyingi sana, hawachoki na kero za nyumba za kupanga? Usije kudhani kwamba kwa sababu wao ni mastaa na wana pesa wakiishi nyumba za kupanga hamna kero, hata ile kitendo cha nyumba kuuzwa na wao kuhamishwa pia ni kero !!

Kilichonifikia ni kwamba wiki tatu baada ya familia hiyo kupewa notice ya kuhama, tayari wamefanikiwa kupata makazi mapya maeneo ya Holmby Hills, California Marekani… lakini hii nayo ni nyumba ya kupanga !!

1006-jayz-bey-home01-480w

1006-jayz-bey-home02-480w

1006-jayz-bey-home03-480w

1006-jayz-bey-home04-480w

1006-jayz-bey-home05-480w

1006-jayz-bey-home06-480w

1006-jayz-bey-home07-480w

1006-jayz-bey-home08-480w

1006-jayz-bey-home09-480w

1006-jayz-bey-home10-480w

1006-jayz-bey-home11-480w

1006-jayz-bey-home12-480w

1006-jayz-bey-home13-480w

jaybeyhouse-480w

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Tupia Comments