Habari za Mastaa

Picha za nyumba mpya ya Justin Bieber yenye night club,gym na movie theater.

on

00Hivi sasa Justin Bieber anaweza kujiachia kwenye club bila kupigwa picha na mapaparazi kwa sababu nyumba yake mpya ina night club na bar tatu ndani yake.

Japokuwa pesa alizolipa Bieber kumiliki nyumba hii haijawekwa wazi, sifa zake ni kuwa na ukubwa wa square meter 16,000,vyumba vya kulala 10,gym kubwa,bwawa la kuogelea,movie theater yenye screen ya inch 160 na vitu vingine.

Justin Bieber ameshahama kwenye nyumba aliyokuwa amepanga na kuhamia kwenye nyumba hii mpya aliyonunua. Hizi ni picha 10 zikionyesha nyumba hiyo

0

1

2

3

4

5

6

7

8

9

Tupia Comments