Habari za Mastaa

Kwa wale mashabiki wa JB na Wema Sepetu…..hii ndio movie mpya itakayokuwa sokoni

on

Muigizaji, mtayarishaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen aka JB anatarajia kuachia filamu mpya wiki ijayo iitwayo Chungu cha tatu

Filamu hiyo iliyotayarishwa chini ya kampuni ya Jerusalem Film imeigizwa na wasanii mahiri akiwemo JB, Pancho Mwamba, Wema Sepetu, Almas Said na wengineo

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram aliwahabarisha mashabiki na kuandika hivi..’Wadau na wapenzi wa filam zetu napenda kuwatangazia kuwa filamu yenu ya chungu cha tatu itakuwa sokoni tarehe 14-12-2015 ..jumatatu ijayo..endeleeni kuangalia filamu za Jerusalem …..sitawaangusha’- JB

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments