Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Unadhani ile kauli ya James Bond wa zamani ilimbagua Idris Elba?
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Unadhani ile kauli ya James Bond wa zamani ilimbagua Idris Elba?
Habari za Mastaa

Unadhani ile kauli ya James Bond wa zamani ilimbagua Idris Elba?

March 30, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

141229220823_sp_bond1Kumekuwa na matukio mengi yanayoripotiwa  na vyombo vya habari kuhusu ubaguzi wa rangi   ambapo matamshi aliyoyatoa aliyekuwa staa wa movie ya 007 Roger More aka James Bond wakati wa mahojiano, amesema madai kwamba alitoa kauli ya kiubaguzi dhidi ya actor Idris Elba si ya kweli.

SIR-ROGER-MOORE
Roger More jamaa aliyewahi kuigiza movie kwa jina la ‘James Bond‘

Bond anasema aliulizwa kuhusu ishu ya Elba kumrithi Daniel Craig ambaye ndiye anayeigiza kama James Bond kwa sasa.

Skyfall - Royal World Premiere - Alternative View

Msanii huyo ambae ni mkongwe wa filamu, alinukuliwa akisema kuwa mtu anayefaa kumrithi katika filamu mpya ya 007 anafaa kuwa muigizaji aliyetokea Uingereza kwa kuwa James Bond wote waliotangulia walikuwa wazungu toka huko.. kuliinuka hisia kali kutoka kwa watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii lakini amesisitiza kuwa alinukuliwa vibaya.

Idris Elba
Idris Elba

Hiki ni kipisi cha video ambacho kilitengenezwa tu na watu waliowaza jinsi ambavyo movie hiyo itakuwa kama Idris akicheza kama James BOND…

https://www.youtube.com/watch?v=IFAcGr7zZlA

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

You Might Also Like

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

Harmonize aibua mapywa, afichua ya Dada wa Diamond, aeleza alivyoshiriki kwenye wimbo huu mpya

Tazama Diamond ‘Sheikh Mansoor’ akiwapokea Watoto wake Airport na Rolls Royce ‘Tiffah na Nillah’

TAGGED: James Bond
Millard Ayo March 30, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Jinsi zawadi zilivyozua Hekaheka Kigogo Dar.. Sherehe yafanyika kurudisha zawadi…
Next Article PNC na ishu ya Ostaz Juma, video ya Diamond kwenye TV na alichokisema Babu Tale.. #255
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?