Staa mwingine anayewakilisha kundi la WEUSI ambaye anatamba na wimbo wake wa ‘Waya’ Joh Makini ameendelea kudhihirisha ubora wake wa kumiliki jukwaa baada ya kupagawisha mashabiki wake wa Tegeta, Dar es Salaam.
Show hiyo aliifanya katika Club ya 71 Kibo katika mji mdogo wa Tegeta usiku wa kuamkia May 1 2017.
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full video
VIDEO: Asley na Khadija Kopa walivyoizindua ‘Usiitie Doa’ DAR…..
VIDEO: Miaka 15 ya Q Chilla kwenye game ya Bongofleva