Michezo

Mshindi wa ‘supa mzuka’ akabidhiwa Mil 300 zake rasmi

on

Habari njema leo July 18 2018 kutoka Kampuni ya ‘The Network’ kupitia tatu mzuka ni kwamba yule bilionea mpya aliyejishindia kitita cha milioni mia tatu Abeid Amir rasmi amekabidhiwa hela zake.

Mshindi huyo Abeid ameishukuru Tatu Mzuka na kusema hatoacha kufanya kazi yake ya kubeba mizigo sokoni  kwa sasa kwani bado anatafakari kipi cha kufanya na jinsi ya kutumia fedha hizo.

Ni furaha tu! Mshindi wa MILIONI 300 Tatu Mzuka alivyozipeleka kwao Mbagala

Soma na hizi

Tupia Comments