Top Stories

BREAKING: Sheikh Mkuu wa DSM azungumza kuhusu kutumika katika kampeni za CCM

on

Leo February 5, 2018 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amezungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam na kutolea ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali likiwemo suala la yeye kuonekana akiwa na Mgombea Ubunge wa Kinondoni Maulid Mtulia.

“Kwenye mitandao ya Kijamii hivi Karibuni mmeona picha ya Mgombea wa CCM na Sheikh wa Mkoa DSM imerushwa kwenye mitandao na watu wakisema Sheikh anafanya kampeni kwenye uchaguzi unaoendelea Kinondoni, gazeti la Tanzania Daima wameandika ‘Sheikh achafua hali ya hewa”– Sheikh Mussa Salum

LIVE: MWILI WA MAREHEMU MZEE KINGUNGE UNAVYOAGWA LEO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments