Habari za Mastaa

Hamisa kazungumzia Nyumba anazomiliki, vipi thamani yake..?

on

Siku ya June 14, 2018 Model Hamissa Mobeto ametumia kushare ftari yake na watoto wasiojiweza na yatima katika kituo kilichopo Sinza Meeda DSM ambapo aliambatana na Mama yake mzazi na moja ya vitu alivyozungumza ni pamoja na swala la nyumba anazomiliki ambapo kaeleza ni nyumba ngapi na alipoulizwa kuhusu thamani yake alitoa majibu haya.

PLAY hapa chini Kumtazama Hamisa Mobetto akizungumza..

HAMISSA KAFUNGUKA: Wanaosema mtoto wa Jaguar “Simjui Jaguar sijawahi kumuona”

Soma na hizi

Tupia Comments