Habari za Mastaa

Kwa watu wangu wa HipHop, hii ni nyingine mpya kutoka kwa Young Jeezy, ‘Round Here’ – (Video)!

on

Rapper Young Jeezy anaendelea kuzisogeza single zake kutoka kwenye  mixtape yake ya Politically Correct mixtape, kwa siku 13 za mwezi huu wa November, Young Jeezy atakuwa anaachia single mpya kutoka kwenye mixtape hiyo na wiki hii rapper huyo anaileta kwetu Round Here.

Tarehe 13 November 2015, Young Jeezy atadondosha Album mpya iliyopewa jina Church In These  Streets, album itakayobeba nyimbo 19 ambapo ndani wasanii kama Janelle Monae na Monica Brown wameshirikishwa kwenye baadhi ya nyimbo.

JYZ3

Kama bado hujafanikiwa kukutana na video mpya ya Young Jeezy, feel free kuichecki video hiyo hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments