Habari za Mastaa

Young Jeezy amekuja na hii mpya; ‘Streetz’ na video yake imenifikia! – (Video).

on

Young Jeezy amerudi tena kuziweka headlines za burudani wiki hii, baada ya kuachia video mbili, November 13 na Gold Bottles, rapper huyo kutoka Marekani amerudi tena na video ya kichupa chake kipya inayopatikana kwenye mixtape yake Politically Correct.

YOUNG2

Wimbo unaitwa ‘Streetz’ na video yake ipo hewani tayari, na kwa sasa rapper Young Jeezy anajianda kwa tour yake ya siku 6 itakayoanza tarehe 12 November Atlanta, Marekani… kama video ya Young Jeezy bado haijakufikia basi karibu uicheki video hiyo hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments