Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Lawrence Paul Anderson mwenye umri wa miaka 44 alifanya mauaji hayo mwaka wa 2021, chini ya mwezi mmoja baada ya kuachiliwa mapema kutoka gerezani.

Mwanaume huyo wiki kadhaa baada ya kuachiliwa, alifanya mauaji  na kuuchomoa moyo wa Andrea Blankenship, kisha akaupeleka kwenye nyumba ya shangazi na mjomba wake na akapika moyo huo na viazi. Kulingana na shirika la habari la NBC

Kama ilivyo ripotiwa hapo awali, alijaribu kuwaandalia chakula wanandoa hao (shangazi na mjomba wake)kabla ya kufanya mauaji tena  ya kuwachoma Leon Pye mwenye umri wa miaka 67 na mjukuu wake wa kike Kaeos Yates mwenye umri wa miaka 4.

Lawrence Paul Anderson, 42, alikiri makosa matatu siku ya jumatano  ya mauaji ya kiwango cha kwanza na shtaka moja la shambulio la silaha.

“aliingia nyumbani kwa kutumia bega lake kuvunja mlango wa nyuma,”

“alimuua mwanamke mweupe nyumbani kwake na kuuondoa moyo wake kisha akapika moyo nyumbani kwa Pye na kujaribu kuwafanya Delsie na Leon Pye kula moyo kabla ya kuwashambulia.”

Hati ya kiapo ya pili inadai kwamba Anderson aliwaambia polisi kwamba alipika moyo huo na viazi “ili kulisha familia yake ili kuwatolea mapepo,” gazeti la Oklahoman liliripoti.

Anderson alihukumiwa kifungo cha maisha jela bila msamaha kama sehemu ya makubaliano ya maombi huko katika jimbo la Oklahoma nchini Marekani.

Mwendesha mashtaka alitupilia mbali mipango ya hukumu ya kifo kufuatia ombi kutoka kwa familia ya mwathiriwa.

Baada ya hukumu hiyo, mwendesha mashtaka, Jason Hicks, alisema katika mkutano na waandishi wa habari kwamba familia ya mwathiriwa haikutaka kuvumilia uchungu wa kesi.

You Might Also Like

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 20, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Next Article Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?