Michezo

Jemedari Said atoa tathmini ya kiwango cha Chama “Simba walifanya maamuzi sahihi” (video+)

on

Simba SC imemrejesha kiungo wake wa kimataifa wa Zambia Clotous Chota Chama ikiwa ni miezi minne imepita toka aondoke na kujiunga na RS Berkane ya Morocco, baada ya kurejea nchini Ayo TV imefanya Exclusive interview na mchambuzi wa soka Jemedari Said kuhusiana na kurejea kwa Chama.

Soma na hizi

Tupia Comments