Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jenerali muhoozi aahidi msaada kwa Marekani kujenga sanamu ya rapa Tupac Shakur.
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Jenerali muhoozi aahidi msaada kwa Marekani kujenga sanamu ya rapa Tupac Shakur.
EntertainmentTop Stories

Jenerali muhoozi aahidi msaada kwa Marekani kujenga sanamu ya rapa Tupac Shakur.

March 22, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba anasema yuko tayari kujenga sanamu ya marehemu mwimbaji wa Marekani Tupac katika mji alikozaliwa huko Marekani, iwapo watu wa taifa hilo wameshindwa kufanya hivyo, Zaidi ya miaka 25 tangu kifo chake.

Muhoozi ambaye hivi majuzi alitangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi wa 2026, alipendekeza kuwa anataka kusaidia Wamarekani kwa kujenga sanamu ya mwanamuziki huyo maarufu.

Mwanamuziki huyo Tupac Amaru Shakur lakini maarufu akifahamika kwa jina la kisanii la 2Pac, ni miongoni mwa wasanii maarufu wa wakati wote ambao wameuza zaidi ya rekodi milioni 75 duniani kote.

Muhoozi alitweet akisema “Ikiwa ndugu na dada zetu wapendwa huko USA hawajajenga sanamu kubwa ya mwimbaji mkuu wa Kiafrika wa kizazi chetu, nataka kusaidia. Nataka kujenga sanamu ya Tupac katika mji wake alikozaliwa. Mzee apumzike kwa amani!”

“Nataka kujenga sanamu ya Tupac katika mji wake alikozaliwa  apumzike kwa amani!”

Alizaliwa mwaka wa 1971, 2Pac amebakia rapa bora duniani hata katika kifo chake, katika kazi yake ya filamu na muziki.

Mwanamuziki huyo alifunga ndoa na mpenzi wake wa wakati huo Keisha Morris, mwanafunzi wa sheria ya awali mwaka wa 1995, lakini ndoa yao ilibatilishwa miezi kumi baadaye.

Hata baada ya kifo chake, 2Pac ametunukiwa na kusherehekewa kutokana na mchango wake katika tasnia ya muziki na filamu

You Might Also Like

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 22, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 22, 2023
Next Article Picha: Benki ya CRDB yaingia makubaliano haya na Silent Ocean, ‘Mfanyabiashara kuepuka hili bandarini’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?