Top Stories

Jeneza lakutwa Arusha likiwa na Mkungu wa ndizi, gari la Polisi lagoma kuwaka (video+)

on

Katika hali isiyokuwa ya kawaida limekutwa jeneza katika kijiji cha kiwawa kata ya Embaseni Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha likiwa na mkungu wa ndizi huku msalaba ukiwa umeandikwa 1 hadi 100.

Janet ambaye ni balozi wa mtaa huo amesema walikuta jeneza hili majira ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi ambapo waliwapigia Polisi simu na walipofika gari lilizima.

“Lilipofika hapa lilizima na hawakuweza kufungua jeneza,liligoma kama dakika 20 walipotaka kulisogelea jeneza lakini baadaye lilivyowaka likaondoka moja kwa moja”-Janet

ALIYEZIKWA NA PIKIPIKI YAKE “ALISEMA AKIFA AZIKWE NAYO, JENEZA LA KIOO”

Soma na hizi

Tupia Comments