Top Stories

Jengo la CCM la mikutano limeteketea kwa moto, Katibu aongea (+video)

on

Jengo la Chama cha Mapinduzi katika maeneo ya Kinondoni studio, Kata ya Ananasif limeteketea kwa moto ambapo chanzo chake bado hakijajulikana na thamani ya mali zilizoharibika bado hazijafanyiwa tathmini.

AyoTV na millardayo.com imezungumza na Katibu wa CCM Kata ya Ananasif ambapo anatueleza jini tukio lilivyotokea.

MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU APATA MFADHILI WA KUMSOMESHA ENGLISH MEDIUM

Soma na hizi

Tupia Comments