Habari za Mastaa

Ule msikiti anaojenga mwigizaji Mzee Majuto umefikia hapa sasa hivi.

on

2Pamoja na kwamba alikiri kuingiza mamilioni ya shilingi kila mwezi kutokana na kazi yake ya Uigizaji, Mzee Majuto aliahidi kujenga Msikiti kwenye sehemu ya kiwanja chake nyumbani kwake 96.0 Tanga.

Hizi picha hapa chini ni wakati AyoTV na millardayo.com zilipoalikwa na Mzee Majuto alipokua ndio anaanza kuujenga msikiti huu ambao upo pembeni ya nyumba yake, hii nyumba ya udongo ndio ulikua msikiti wa kwanza ila akaamua kuuvunja ili ajenge wa matofali.

Majuto 1 majuto 2Hizi hapa chini ndio picha za sasa za ulipofikia ujenzi wa msikiti huu ambao utaruhusu yeyote kufanya ibada hapo hata kama sio wa Familia ya Majuto.

1

6

4

3DSC05637

Tupia Comments