Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jerry Muro alikua anajinadi kwa Ubunge hapa hizi nazi zikapasuliwa makusudi mbele yake.
Share
Notification Show More
Latest News
Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’
August 14, 2022
Baada ya kipigo Ahmed Ally atoa kauli ya faraja kwa Wana Simba ‘Tunapitia maumivu makali mno’
August 14, 2022
Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022
August 14, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022
August 14, 2022
Maneno ya Manara kuelekea Mchezo wa Yanga na Simba leo, “Nendeni mkapiganie Jezi na jina la Club’
August 13, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Jerry Muro alikua anajinadi kwa Ubunge hapa hizi nazi zikapasuliwa makusudi mbele yake.
Top Stories

Jerry Muro alikua anajinadi kwa Ubunge hapa hizi nazi zikapasuliwa makusudi mbele yake.

July 30, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

IMG-20150730-WA0014Kumekuwa na wimbi la watu maarufu kuingia katika siasa na kutangaza kugombea nyadhifa mbalimbali katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadae mwezi Oktoba 2015. Jerry Muro ni mmoja kati ya watu maarufu waliojitokeza kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM.

IMG-20150730-WA0012Kama ilivyo kawaida kwa chama chochote cha siasa wagombea huwa wanajinadi mbele ya wanachama wa chama husika na kuomba kura, Jerry alipata mkasa ambao mwenyewe anakiri kumtisha. Jerry ambae anaomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge kwa jimbo la kawe kwa tiketi ya CCM anapata upinzani kwa watiania 20.

IMG-20150730-WA0011July 30 Jerry Muro akiwa  katika kata ya Msasani Bonde la Mpunga wakati anajinadi walitokea vijana wawili, mmoja akavunja nazi na mwingine akavunja mayai vitu ambavyo vinaashiria imani za kishirikina, Jerry amekiri hali hiyo kumtisha maana mambo hayo amekuwa akiyasikia na sio kuyashuhudia.

“Nimepata athari kwa kiasi kikubwa kwa mfano leo tumekwenda katika kampeni nilipoanza kujieleza nimemwaga sera wakatoka watu wawili mmoja akapasua nazi mwingine akapasua mayai”>>> Jerry Muro

Jerry Muro ameingia katika headlines ya kuwa mmoja kati ya watu maarufu waliotangaza kugombea Ubunge Jimbo la Kawe ambalo mbunge wake wa sasa ni Halima Mdee kutokea CHADEMA.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

You Might Also Like

Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022

Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Rama Mwelondo TZA July 30, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Takwimu zinasema hii ndio idadi ya wahamiaji waliojiandikisha na kukamatwa. (Audio)
Next Article Mtazamo wa Dj Khaled kuhusu ma Dj’s kupeana support kimuziki. (Audio)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’
Sports August 14, 2022
Baada ya kipigo Ahmed Ally atoa kauli ya faraja kwa Wana Simba ‘Tunapitia maumivu makali mno’
Sports August 14, 2022
Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022
Top Stories August 14, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022
Magazeti August 14, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022

August 12, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 11, 2022

August 11, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 10, 2022

August 10, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 9, 2022

August 9, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?