Kutoka nyumbani kwa Mzee King Kikii AyoTV imezungumza na Mtoto wake wa Kike Jesca Kikumbi maarufu kama Jesca Kitambaa Cheupe ambapo anatuelezea nyakati za mwisho za Baba yake Mzazi
“Jana usiku ndio hali imebadilika akawa kama hana homa tukampa dawa panadol tukawa tunamponji (kumkanda) homa ikawa haishuki tukahisi kama amefariki tukachukua mwili kupeleka Muhimbili, Saa 7 na dakika 10 Doctor akaconfirm kweli amefariki”
“Mafanikio yangu yote ni Baba yangu, ukiongelea kitambaa cheupe baa unamuongelea Mzee, Baba alitaka niende Congo kufungua biashara ya Baa maana kule kuna hela na alisema akipona atanipeleka”
TAZAMA ZAIDI…