Top Stories

Jeshi la Polisi Kanda Maalum lakagua maeneo kwa helkopta DSM (Picha+)

on

Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Desemba 8, 2021 limepokea maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro kutumia rasimali zote za Jeshi ikiwemo helkopta kuhakikisha hali ya usalama kuanzia usiku wa leo kuamkia siku ya kesho na siku yenyewe ya Uhuru panakua na usalama wa kutosha wa watu na mali zao.

.

Hayo yamesemwa na Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro wakati akifanya ukaguzi wa maeneo mbali mbali ndani ya Dar es salaam akitumia usafiri wa helkopta kwa kupita maeneo mbalimbali ikiwemo Uwanja wa Taifa ambako panatarajiwa kufanyika kilele cha kukumbuka siku ya Uhuru kesho.

.

.

.

.

.

.

Soma na hizi

Tupia Comments