Duniani

PICHA 15: Nchi 15 zenye majeshi yenye nguvu zaidi Duniani, Afrika ipo moja

on

Miongoni mwa nguzo za nchi yoyote duniani ni jeshi, jeshi ni nguzo yenye nguvu na kubwa zaidi. Inaelezwa kuwa sifa ya nchi yoyote ni uwezo wa jeshi lake katika kupambana kwa ajili ya watu wa nchi yake.

Nimeipata hii list ya nchi 15 ambazo majeshi yake yana nguvu zaidi duniani, list hii imezingatia uwezo wa majeshi yote ya ardhini, majeshi ya anga, majini, vikosi maalumu na silaha zake, helkopta, meli, ushawishi wa jeshi duniani, mipango yake ya baadaye na rekodi zake kwenye mapigano yaliyopita. Katika list hii kutoka Afrika jeshi la Misri limetajwa katika nafasi ya 10.

15. Australia 

australian-military

14. Germany

14shutterstock_german-soldiers

13. Italy

13shutterstock_italian-soldiers

12. Uingereza

12v2-web-british-army-get

11. Israel

11shutterstock_israel

10. Misri

10shutterstock_egypt-military

9. Pakistan

9pak-army-1

8. Uturuki

8turkey-army-flags

7. Ufaransa

7french-military

6. Korea Kusini 

6south-korean-soldiers

5. India

5shutterstock_indian-army

4. Japan

4shutterstock_japanese-military

3. Urusi

3shutterstock_russian-military

2. China

2shutterstock_chinese-military

1. Marekani

1senegal_us_military_exercise

Source: TheRichest.com

VIDEO: Makomando walivyoonyesha uwezo mbele ya Rais Magufuli , Bonyeza play hapa chini

VIDEO: Kwata la kimyakimya la Wanajeshi wa Tanzania Uhuru Day 2016, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments