Stori Pekee

Familia ilivyofanya Ndege kuwa nyumba ya kuishi na wako poa kabisa yani !! Pichaz hizi hapa..

on

Taylor Weidman ni Mwandishi wa Habari ambaye ameishi Thailand kwa kama miaka miwili hivi, amekatisha mitaa ya Jiji la Bangkok, Thailand.

Maeneo mengi ya Miji mikubwa kama Dar es Salaam wakati wa usiku unakuta kuna watu wasio na makazi wanalala pembeni ya barabara, au wanalala Sokoni na maeneo mengine ambayo sio makazi yao rasmi kabisa kutokana na ugumu wa maisha.

150915095737-9-bangkok-plane-graveyard-super-169

Mwandishi Taylor Weidman amepiga pichaz baadhi ya watu ambao wameweka makazi yao kwenye mabaki ya Ndege ambazo inaonekana zimetelekezwa kwa muda mrefu.

150915101852-10-bangkok-plane-graveyard-super-169

150915095655-8-bangkok-plane-graveyard-super-169

150915095424-7-bangkok-planes-super-169

150915094201-6-bangkok-plane-graveyard-super-169

150915093832-3-bangkok-plane-graveyard-super-169

150915093643-2-bangkok-plane-graveyard-super-169

150915093600-bangkok-plane-graveyard-super-169

150915104201-11-bangkok-plane-graveyard-super-169

150915110823-13-bangkok-plane-gravyard-super-169

150915111339-14-bangkok-plane-gravyard-super-169

150915111410-15-bangkok-plane-gravyard-super-169

150915111742-18-bangkok-plane-graveyard-super-169

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments