Kivuko cha ‘Kigongo Ferry’ Jijini Mwanza kimesimama kutoa huduma ya kuvusha abiria na magari tangu jana kutokana na kivuko cha MV Misungwi kuharibika kwenye mfumo wa injini.
Baada ya taarifa ya shida hii kumfikia Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, leo December 29, 2017 amefika kwenye kivuko kuwatuliza abiria na kuangalia jinsi gani ya kutatua tatizo hilo.
“Ukiona mazingira ya tatizo kama hili, ujue kuna wachache wetu wamepungukiwa tu uwezo wa kufikiri watajiingiza kwenye vishawishi vya aina hii.” – RC Mongella
JPM awasilisha taarifa ya mali zake na akaunti ya Benki Sekretarieti ya Maadili
UKAGUZI WA CAG: “UVCCM imeongoza kwa hesabu safi kati ya Jumuiya zote za CCM” – Katibu UVCCM