Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya hapa kumi kubwa za leo na waweza kuzipata huko.
#MWANANCHI Baada ya mahakama kuagiza Lissu akamatwe kwa kushindwa kuhudhuria kortini, asema hana taarifa hivyo hawezi kujisalimisha popote pic.twitter.com/YCJ3i7ERe7
— millardayo (@millardayo) November 5, 2016
#MWANANCHI Polisi Arusha inaendelea kumhoji kwa siku ya pili mfululizo, mbunge Godbless Lema baada ya kumkamata jumatano wiki hii pic.twitter.com/MaqDWlXyxf
— millardayo (@millardayo) November 5, 2016
#MWANANCHI Mkazi wa Urambo mkoani Tabora amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kukutwa na kilo 30 za bangi pic.twitter.com/UHH7HxNHsk
— millardayo (@millardayo) November 5, 2016
#NIPASHE Hotel ya Tamal DSM yauzwa kwa mnada, yachukuliwa kwa bil 1.1 wakati thamani halisi ikitajwa kuwa bil 2.2, ilikuwa ikidaiwa na benki pic.twitter.com/z3225TikAj
— millardayo (@millardayo) November 5, 2016
#NIPASHE Serikali imewasilisha muswada wa wa habari, huku ikifanya marekebisho saba na kusema hatua hiyo imetokana na maoni ya wadau pic.twitter.com/jTbFDkTeHS
— millardayo (@millardayo) November 5, 2016
#NIPASHE Waziri Ndalichako amesema serikali imepeleka bil 71.04 za mikopo ktk vyuo mbalimbali kwa ajili ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza pic.twitter.com/iPdrYcpFEy
— millardayo (@millardayo) November 5, 2016
#NIPASHE Mwanafunzi kidato cha tatu shule ya sekondari Kilimani K'njaro, Urusula Msoma atoweka nyumbani kwa kukataliwa kwenda shule ya bweni pic.twitter.com/TiBtNOf9uL
— millardayo (@millardayo) November 5, 2016
#MAJIRA Rais Magufuli amezungumzia kipindi cha mwaka mmoja wa utawala wake, asema nafasi ya urais ni adhabu na utumwa, ashangaa wanaoutaka pic.twitter.com/uH6w9hcKXl
— millardayo (@millardayo) November 5, 2016
#HabariLEO Serikali imekiri kupungua mizigo ktk bandari ya DSM kwa 5.47% na kutoa sababu kadhaa ikiwemo wafanyabiashara kubanwa kulipa kodi pic.twitter.com/R3MVAngdWM
— millardayo (@millardayo) November 5, 2016
#HabariLEO Rais Magufuli amesema siku atakayopelekewa Muswada wa huduma za habari wa mwaka 2016 ili ausaini, atausaini siku hiyo hiyo pic.twitter.com/gOeWvSIyqU
— millardayo (@millardayo) November 5, 2016
ULIKOSA HII PART 1 YA RAIS MAGUFULI ALIPOHOJIWA NA WAANDISHI WA HABARI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI