Kwanza zilianza kusambaa picha ambazo zilimuonyesha Jaguar akiwa gerezani ambapo ilifahamika kwamba Jaguar hakua amepelekwa gerezani kwa kosa lolote la kuvunja sheria bali alikua anafanya video ya single yake mpya inaitwa ‘Kioo’ ambayo ndio hii hapa chini.
Itazame hapa video iliyomfanya msanii Jaguar wa Kenya kwenda gerezani.

Leave a comment
Leave a comment