Habari za Mastaa

Maneno ya Erick Omondi baada ya video aliyocheza utupu na watoto kusambaa

on

Baada ya kusambaa kwa Video ya mchekeshaji kutokea Kenya Erick Omondi video inayomuonesha akiwa anaogelea mtupu kwenye bwawa la maji akiwa na watoto waliokuwa watupu kitu kilichochukuliwa kama kuwazalilisha watoto hao, Erick Omondi ameomba radhi kwa hilo.

Erick Omondi ameomba radhi kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram baada ya kusambaa kwa video hiyo na kuandika…>>>“I have been a comedian all my life… Many are the times that I have errored… Today was one of those days. I have offended so many. I did not in any way intend to offend anyone…I AM DEEPLY SORRY FOR THAT… 🙇‍♂️” – Erick Omondi

…..>>>“Nimekuwa mchekeshaji maisha yangu yote … kuna siku uwa nafanya makosa… Leo hii ilikuwa mojawapo ya siku hizo.Nimekosea watu wengi .. Sikuwa na nia yoyote ya kumkosea  yeyote … Samahani sana kwa hili” – Erick Omondi

 

‘Quick Rocka hanipangii cha kufanya, ananisikiliza ninachomwambia’

Soma na hizi

Tupia Comments