Top Stories

Alichojibu Kamanda Kinondoni kuhusu Madai ya CHADEMA kuvamiwa na Polisi

on

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni ACP Jumanne Murilo amesema  polisi hawakuvamia ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo  zilizopo maeneo ya Magomeni na kusema kuwa wao walirusha mabomu ili kutawanya watu waliokuwa wakiandamana kwa mwamvuli wa vyama vya siasa.

Akiongea na AyoTV na millardayo.com Kamanda Murilo amesema walichokifanya wao jeshi la polisi ni  kuzuia vitendo ambavyo vingeweza kuvunja sheria kwa kutumia kigezo cha vyama vya siasa.

Baad ya Wizara ya AFYA kuhamia Dodoma, Jengo lao wamepewa wengine?

Soma na hizi

Tupia Comments