Habari za Mastaa

VIDEO: Baada ya ‘sakata la teke’ koffi Olomide kafanya hii show na Fally Ipupa

on

Mwanamuziki nyota wa Rhumba kutoka DRC Koffi Olomide ambaye siku za hivi karibuni alisafirishwa kwenda mjini Kinshasa DRC kutoka Nairobi baada ya kukabiliwa na tuhuma za kumshambulia dancer wake wa kike uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta muda mfupi baada ya kuwasili nchini Kenya. Olomide alikamatwa punde baada ya kuwasili nchini Congo, hata hivyo alipewa dhamana kufuatia shinikizo la mashabiki wake.

August 7 2016 Koffi Olomide aliwatumbuiza mashabiki Brazzaville ikiwa ni tamasha la kwanza tangu ‘sakata la teke’ nchini Kenya kumsababishia kufungwa jela. Olomide alisambaza video ya sehemu ya shoo yake mjini Brazzaville, akiwa na mwanafunzi wake Fally Ipupa Congo, unaweza kuitazama hapa chini.

ULIKOSA HII PERFOMANCE YA OLIVER MTUKUDZI KWENYE EAST AFRICA CONCERT? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments