social network

Sentesi za msanii Jaguar baada ya uvumi kuwa amepata ajali na kufariki

on

Ni saa kadhaa zimepita toka taarifa za msanii wa Kenya Charles Njagua Kanyi ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la Jaguar, kuvumishiwa kuwa amepata ajali ya gari aina ya Noah nyeusi iliyotokea njia panda ya Nakuru Nairobi Kenya na kufariki , mwenyewe ametumia ukurasa wake wa instagram kuweka wazi ukweli wa taarifa hizi.

katika mtandao wa kijamii Instagram Jaguar amekanusha uvumi huo na kusema haya..

Habari marafiki, naomba nianze kwa kuomba radhi kwa wote ambao watakua wameumizwa na uvumi kuwa nimefariki kwa ajali ya gari,  naomba niwadhibitishie kuwa mimi ni mzima na naendelea vizuri na kazi zangu. Jaguar

Tafadhalini msisikilize wala kutilia maanani message zozote mtakazo zipata kuhusu uvumi huu, na kama kuna ajali kweli imetokea leo naomba radhi kwa familia ilihusika kwenye ajali hiyo, tunaendelea na uchunguzi kumpata aliehusika na kusambaza taarifa juu ya uvumi huu kwenye tovuti yake. – Jaguar

jaguer

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA JOKATE KUKAMILISHA HILI KWENYE SHULE YA  SEKONDARI JANGWANI? ICHEKI VIDEO NIMEKUEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments