Habari za Mastaa

Diva alivyombana Darasa kuhusu dawa za kulevya kwenye Ala za roho ya Clouds FM

on

Usiku wa January 31, 2018 kupitia kipindi cha Ala za roho ya Clouds FM mtangazaji Diva alimuhoji msanii Darassa na moja ya swali ambalo Diva limuhoji Darassa nikuhusu ishu ya kutumia dawa za kulevya ambapo hapo awali Darassa hakuwa anataka kuliweka wazi swala hilo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

EXCLUSIVE: Utajiri wa Batuli, kaulizwa kuhusu maisha ya ufahari anayoishi, anatoa wapi pesa?

CHECHE ZA STEVE “Nacheza number sita, uchaguzi ukifika tutatumika tu, madodoki wananisema”

Soma na hizi

Tupia Comments