Habari za Mastaa

Video: Billnas kapeleka “UA” kwa Nandy kwenye steji ya Fiesta

on

Weekend hii wakazi wa Kahama waliushuhudia msimu wa Fiesta 2018 ambapo list ya wasanii wakali wa kwenye game ya Bongofleva walipanda jukwaani kutoa burudani kwa mashabiki wao, na kwenye list hiyo hawakukosekana wakali Billnass na Nandy ambao waliwahi kuhusishwa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Sasa kwenye stage ya fiesta Kahama wakali hao walipanda na kuimba kwa pamoja huku Billnass akipanda na Ua ambalo alimpa Nandy mbele ya mashabiki.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama ilivyokuwa.

VIDEO: Joh Makini, amelikubali vibe la watu wa Kahama

Dogo Janja na Whozu wamevunja style ya “Kingaleloo” Kahama

Soma na hizi

Tupia Comments