Top Stories

Maamuzi ya Serikali baada ya Wakurugenzi kuzuiwa kusimamia Uchaguzi (+video)

on

Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kutoa hukumu ya kubatilisha sheria inayowapa Mamlaka Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Adelardus Kilangi kwa kushirikiana na ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wamewasilisha notisi ya kukata rufaa Mahakama ya Rufani.

HUKUMU: WAKURUGENZI MARUFUKU KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU, SHERIA YABATILISHWA

Soma na hizi

Tupia Comments