Top Stories

Waziri atoa ‘Nondo’ kwa vijana “Licha ya Elimu, tujikite kwenye kilimo” (+video)

on

Tunayo stori kutokea kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Innocent Bashunga ambapo amesema licha ya vijana kuwa na elimu wanaweza kutumia fursa ya kilimo kwa ajili ya kujenga uchumi wa nchi.

KAULI YA SERIKALI KUHUSU WATANZANIA WANAODAIWA KUUAWA AFRIKA KUSINI

Soma na hizi

Tupia Comments