Video Mpya

VideoMPYA: Hatimae Davido kaileta ‘Blow My Mind’ akiwa na Chris Brown

By

on

Baada ya mkali kutokea Nigeria Davido kuiachia rasmi audio ya ‘Blow My Mind’ aliyoifanya na mkali wa miondoko ya RnB Chris Brown siku kadhaa zilizopita sasa ametubarika na video ya ngoma hiyo, fanya kubonyeza PLAY hapa chini kuburudika.

VIDEO: ‘AWATARAJIE NDOA, NISHAMTAMBULISHA KWA WAZAZI WANGU” -WHOZU

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments