Top Stories

MAZISHI YA ALLEN: Baba Mzazi ameeleza alichoambiwa na Mwanae kabla ya kufariki (video)

on

Leo March 28, 2018 Mazishi ya Allen Achiles Mapunda (20) aliyefariki March 25, 2018 katika hospitali ya Kanda Rufaa Mbeya na kifo chake kuzua utata yamefanyika katika makaburi ya Iyela jijini Mbeya na kuhudhuriwa na mamia ya waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali jiji la Mbeya.

Akiongea baada ya mazishi baba mzazi Achiles Mapunda amesema alipata taarifa za mwanawe kukamatwa akiwa safarini Moshi lakini aliongea nae kupitia simu ya mama yake Alice akimwambia ana maumivu makali ya kichwa na kwamba alipigwa na Polisi.

“Marehemu Allen hakuwahi kugombana na mtu” – Mama Mdogo

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments