Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Utafiti: Kuanzia miaka 55 watu wengi huchukia ajira zao….sababu?
Share
Notification Show More
Latest News
Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State
May 30, 2023
Pangani yatimiza ilani ya vijiji vyote kuwa na umeme.
May 30, 2023
bandari ya dar es salaam yaweka rekodi mpya katika kuhudumia shehena
May 30, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 30, 2023
May 30, 2023
Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Utafiti: Kuanzia miaka 55 watu wengi huchukia ajira zao….sababu?
Top Stories

Utafiti: Kuanzia miaka 55 watu wengi huchukia ajira zao….sababu?

October 14, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Utafiti mpya uliofanya nchini Uingereza kwa kutumia waajiriwa zaidi ya 2000 unaonesha kuwa jinsi umri wa watu unavyoongezeka ndivyo wanavyoendelea kuchukia kazi wanazozifanya.

Hali hii ya kutofurahia kazi zao huanza katika umri wa miaka 35 na huzidi sana pindi wanapofika miaka 55 na zaidi ambapo wengi wao huhisi hawathaminiwi na wala mchango wao hauonekani na hivyo suala hilo huuwa kabisa morali ya kazi.

Wanasayansi wanashauri kuwa mtu anapofikia kipindi hiki na kujisikia hali hii ni vyema kuwekeza nguvu nyingi na muda wao katika miradi inayowafurahisha ili kuepuka kuchoshwa na kazi ambazo wamekua wakizifanya kwa miaka mingi.

Ulipitwa na hii? Vitu vitatu vilivyofanya Nay wa Mitego awaite waandishi wa habari

You Might Also Like

Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State

Pangani yatimiza ilani ya vijiji vyote kuwa na umeme.

bandari ya dar es salaam yaweka rekodi mpya katika kuhudumia shehena

Katibu Mkuu CCM amuagiza haya RC wa Iringa, kuhakikisha kituo hiki cha Afya kimefunguliwa na kuanza kutoa huduma

GSM Home wametuonesha bidhaa za ndani walizopunguza mpaka asilimia 60%, wahi sasa

TAGGED: duniani, Facebook Twitter na Insta, habari daily, TZA HABARI, utafiti
Admin October 14, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ayo TV MAGAZETI: Kibano chatua, Ponda ahenyeshwa saa 11 Polisi
Next Article Faida 6 za Konokono akiliwa ambazo huenda ulikuwa huzifahamu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mahakama ya Libya imewahukumu kifo watu 35 kwa kupigania kundi la Islamic State
Top Stories May 30, 2023
Pangani yatimiza ilani ya vijiji vyote kuwa na umeme.
Top Stories May 30, 2023
bandari ya dar es salaam yaweka rekodi mpya katika kuhudumia shehena
Top Stories May 30, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023

May 30, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 29, 2023

May 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 29, 2023

May 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 28, 2023

May 28, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?