AyoTV

Mashabiki wa Simba na Yanga waiongelea Simba VS AS Vita hapo kesho !!

on

Simba SC kesho March 16 2019 itacheza mchezo wake wa mwisho wa Kundi D michuano ya CAF Champions League dhidi ya AS Vita ya Congo katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam, huo mchezo ni kama fainali kwa timu zote mbili, kwani sare haiwasaidii sana kufuzu.

AS Vita japokuwa wapo ugenini wanahitaji ushindi wakati Simba SC ambao ni wenyeji wanahitaji ushindi huku wakisubiri matokeo ya game ya Misri kati ya Al Ahly dhidi ya JS Saoura, AyoTV imetembea mitaa ya Msimbazi Dar es Salaam na kukutana na mashabiki wa soka, na kuuliza wanazungumziaje game hiyo? huku shabiki wa Yanga akijitoa kuishabikia Simba kesho.

Mwinyi Zahera alisababisha shabiki wa Yanga abet mke 

Soma na hizi

Tupia Comments