Habari za Mastaa

Katikati ya shamba la mpunga… Joh Makini na Young Lunya wameubeba ‘mchele’ (video mpya)

on

Tulipoziona picha za Joh kaukamata mchele shambani tukajua Mtu mzima kaingia mzigoni kuufata mchele kibiashara… alipoulizwa akajibu…. “plus na Waganga mkiganga hatuoni ligi, plus Instagram na huko Twitter Magwiji, mkidanganyana eti mnachukuaga vijiji” eti WEUSI…………… malizia kwa kuplay hapa chini

MTANZANIA ALIEBUNI UMEME WAKE “HAUJAKATIKA KWA MIAKA MINNE, NILIISHIA LA SABA”

Soma na hizi

Tupia Comments