AyoTV

Joh Makini amezitaja collabo zake za international

on

Baada ya Rapper Joh Makini kufanya kazi na mkali A.K.A na mrembo kutoka Nigeria Chidnma, Joh Makini amekutana na Ayo Tv na millardayo.com na ameelezea ni jumla ya collabo ngapi za nje ameshazifanya mpaka sasa.

Nafikiri ninaweza nikapokea vocals usiku wa leo au kesho kutoka kwa khuli chana na ni za collabo nyingine ya ngoma yangu mimi ambayo namshirikisha yeye, khuli nilikutanishwa nae na jamaa mmoja anaitwa Dj Super Nova nimsouth Africa ambaye anafanya kazi zake Marekani’Joh Makini

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA MR BLUE HATOISAHAU FIESTA 2014, IKIWEMO KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YAKE? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments