AyoTV

Azam FC imewasili Bulawayo kwa ajili ya game yao ya “Do or Die”

on

Club ya Azam FC ikitokea Harare nchini Zimbabwe leo imefika salama katika Mji wa Bulawayo nchini Zimbabwe, mji ambao watachezea mchezo wao wa marudiano dhidi ya Triangle FC.

Azam FC ikiwa Bulawayo itafanya mazoezi ya mwisho mwisho kujiandaa na mchezo wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la shirikisho Afrika dhidi ya Triangle FC, mchezo ambao utachezwa katika uwanja wa Bulawayo chini Zimbabwe.

VIDEO: Antonio Nugaz kaanza na Mbwembwe Yanga “Yanga unyonge kwisha”

Soma na hizi

Tupia Comments