Top Stories

‘Tumedhamiria kuliboresha Jiji la DSM, tumeweka BILIONI 600’ -DMDP

on

Leo April 5, 2018 Stori ninayokusogezea ni kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jaffo ambapo tunaendelea kuangalia mradi wa uboreshaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP).

Leo tutaangalia jinsi Serikali ilivyojidhatiti kuleta mabadiliko katika jiji la DSM hasa katika Miundombinu na utatazama mradi unavyoendelea na kuwasikia Wasimamizi wa mradi ambao wanatoka TAMISEMI wakitolea ufafanuzi mradi huu.

Bonyeza PLAY hapa chini kujionea jinsi mradi unavyoendelea.

Huu ndio Mpango wa kuliboresha Jiji La DSM. Zimewekwa Bilioni 600

 

Soma na hizi

Tupia Comments