Habari za Mastaa

Lina anayofuraha kutuletea hii single mpya ‘Raha jipe mwenyewe’

on

Ni msanii Lina Sanga ambae leo anayofuraha kutuletea hii single yake mpya iitwayo Raha jipe mwenyewe, wimbo umetayarishwa katika studio za Mr T Touch.

Unaweza ukabonyeza play hapa kuusikiliza wimbo huo mpya

ULIIKOSA HII YA LINA KUHUSU EX WAKE KUOA MWANAMKE MWINGINE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments