Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jinsi bodaboda walivyomwaga vyakula na pombe msibani wakidai marehemu hakuwa anapewa chakula
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Jinsi bodaboda walivyomwaga vyakula na pombe msibani wakidai marehemu hakuwa anapewa chakula
Mix

Jinsi bodaboda walivyomwaga vyakula na pombe msibani wakidai marehemu hakuwa anapewa chakula

May 6, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Siku kadhaa zilizopita iliripotiwa taarifa ikidai waendesha bodaboda katika kituo cha Kisangiro katika kata ya Kilema Kaskazini mkoani Kilimanjaro walimwaga vyakula pamoja na pombe kwenye mazishi ya kijana aliyefahamika kwa jina la Leonard Abeli, leo Ayo tv imekutana na vijana waliokuwepo kwenye tukio hilo nakudai kwamba kijana huyo aliuawa na watu wasiojulikana na kipindi cha uhai wake hakuwa anapewa chakula

William Nderumaki Baba mkubwa wa marehemu amesema kwamba tukio hilo lilitokea na kijana huyo hakutengwa kama inavyodaiwa na nyumba aliyokuwa anaishi ni ya wazazi wake na alikuwa hakai sehemu moja na huendaa kijana huyo kabla yakufariki aliwafahamisha vijana hao kwamba alikuwa hapati chakula jambo ambalo sio la kweli.

EXCLUSIVE: MPAKA NYUMBANI KWA MKOJANI “NILIENDA KWA WAGANGA, NIMEJULIKANA MWAKA JANA”

You Might Also Like

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

Godfrey Thomas TZA May 6, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Forbes wamtangaza Melinda alieachana na Bill Gate kuwa Bilionea mpya, ashika namba hii
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 7, 2021
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?