Top Stories

Jionee Mafuriko yalivyoingia kwenye Saloon DSM, vitu vyaharibika

on

Ikiwa October 13, 2020 Baada ya mvua kunyesha kuanzia Alfajiri mpaka mchana wa leo sasa Ayo TV & Millardayo.com imefika kwenye baadhi ya maeneo kukusogea ujionee yaliyojiri na hapa ni Survey Dar es Salaam ambapo Mvua iliyonyesha imesababisha shughuli za Saloon kusimamishwa kutokana na maji kuingia ndani .

TAZAMA MVUA ZA DAR LEO MAJI YAFURIKA JUU YA BARABARA HIZI, FOLENI YAONGEZEKA

 

Tupia Comments