Top Stories

Jionee muonekanao wa ndani wa MV. Mbeya two (+video)

on

Meli ya MV. Mbeya Two, yenye uwezo wa kubeba mizigo tani 200 na abiria 200 kwa wakati mmoja, inatarajiwa kuanza kutoa huduma mwezi Januari mwakani, ikiwa ni badaa ya kukamilika ujenzi wake, katika Bandari ya Itungi wilayani Kyela mkoani Mbeya.

Meneja wa Bandari za ziwa Nyasa, Abedi Gallus, amesema Meli hiyo ambayo ni miongoni mwa Meli Tatu zilizojengwa na kampuni ya Kitanzania ya Songoro Marine Services, imegharimu kiasi cha shilingi Bilioni 9.1 mpaka kukamilika kwake.

MV MBEYA II YAFANYIWA MAJARIBIO YA MWISHO, KUANZA RASMI MWEZI UJAO

Soma na hizi

Tupia Comments