March 29, 2019 Jaji wa Mahaka kuu ya Dodoma Latifa Mansour ametupilia mbali pingamizi lililotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari kuhusu uamuzi wa Spika wa bunge Job Ndugai kumvua nafasi hiyo kwa kushindwa kuhudhulia vikao mikutano mitatu ya Bunge mfululizo.
Wakili wa Joshua Nassari Fredy Kalonga amezungumza na Waandishi wa habari kuhusu hatua watakayoichuakua mara baada ya maamuzi hayo ya Mahakama.
BREAKING: MKURUGENZI WA TAKUKURU ANAEDAIWA ‘KUTAPELI’ BILIONI 1 NA MILIONI 300 AFIKISHWA KISUTU