Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

Wachimbaji madini watangaza maandamano nchi nzima baada ya kauli ya JPM

on

February 9, 2019 bunge limepitisha muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Sheria mbalimbali ambao unalenga kufanya marekebisho kwenye sheria ya madini kwa kuondoa tozo ya zuio la kuuzia madini ambayo ilikua 5% na kuwa asilimia 0%.

Baada ya hatua hiyo chama cha wachimbaji wadogo wa madini nchini wakiwa mkoani Dodoma wakiongozwa na Rais wao John Bina kimesema kuwa kimepanga kufanya maandamano ya amani kwa nchi nzima kwa lengo la kumpongeza Rais Magufuli katikati maamuzi yaliyofikiwa na Serikali yake.

Hussein Bashe hajakaa kimya Bungeni leo “Tumechukua hatua”

Soma na hizi

Tupia Comments