Top Stories

Picha ya mwisho ya KIBONDE imeacha maswali mengi, alimaanisha nini?

on

Leo March 7, 2019 Habari kubwa Tanzania ni kifo cha Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde kilichotokea Mkoani Mwanza na kuthibitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Nimepita katika Instargram akaunti ya Ephraim Kibonde na kukuta kitu cha mwisho kukipost ni picha ya Mke wake kipenzi ambaye nae amefariki. Kwenye video hapa chini unaweza fahamu jinsi gani Kibonde alimpenda Mke wake.

BREAKING: Mtangazaji wa Clouds FM Ephraim Kibonde amefariki dunia

Soma na hizi

Tupia Comments