Habari za Mastaa

CHECHE ZA STEVE “Nacheza number sita, uchaguzi ukifika tutatumika tu, madodoki wananisema”

on

Mchekeshaji Steve Nyerere alikuwa ni miongoni mwa waratibu walioandaa shughuli ya RC Makonda aliyokutana na wasanii wa Bongofleva na Bongomovie siku ya January 31, 2019 ambapo alipata nafasi ya kuzungumzia mkutano huo na kuwajibu wale waliopinga kikao hicho  kwa kusema yeye siyo kiongozi na istoshe kikao ni kwaajili ya kuwatumia wasanii kwenye uchaguzi.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW.

VIDEO: CHEKI NYOSHI ALIVYOMCHEKESHA RC MAKONDA ‘NINA WATOTO 12’

Soma na hizi

Tupia Comments