Top Stories

KISARAWE: DC Jokate awataja Diamond na Alikiba kama mfano (+video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo amefanya matembezi ya siku ya vijana pamoja na kuhutubia Wakazi wa Kisarawe leo August 12 2018 ambapo pamoja na mengine amewazungumzia Diamond Platnumz, Alikiba, Nikki wa Pili na Shilole kama vijana wa kuigwa, tazama hii video hapa chini kuona alivyoongea

VIDEO: MHESHIMIWA JOKATE ALIVYOPOKELEWA WILAYANI KISARAWE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

VIDEO: MKUU WA WILAYA JOKATE MWEGELO ALIVYOVAMIA MSITUNI LEO KUFANYA OPARESHENI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments