Habari za Mastaa

Mrisho Mpoto kaongea baada ya kutukanwa kumuunga mkono Rais Magufuli

on

Ni May 2, 2017 ambapo Mrisho Mpoto kupitia millardayo.com & Ayo TV alifunguka kuhusiana na wale wanaomtusi na kumponda kutokana kuonesha kuunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli.

‘Kiukweli nimepata masikitiko makubwa sana kwani nimejaribu kuwaambia watanzania Rais ni nani, unajua kuna wakati wa kampeni ambapo kila mtu anaruhusiwa kuwa na mtazamo wake chochote anachokiamini pale tunaangalia masuala ya vyama lakini tunapomaliza masuala ya uchaguzi tunarudi tuwe katika masuala ya umoja tujenge nchi yetu’- Mrisho Mpoto

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Mrisho Mpoto akizungumza kuhusiana wanaomtusi mitandaoni

ULIKOSA MAJIBU YA JOH MAKINI KUHUSU VIDEO YAKE MPYA NA MSANII WA NIGERIA DAVIDO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments